Access Bank wamekuja na riba ya kutisha!

Access Bank wamekuja na riba ya kutisha!

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
IMG-20160222-WA0031.jpg
 
Asilimia 15% kwa mwaka!!!!ngoja niwapige chini hawa ACB wenye riba ya 22% kwa mwaka...loh
 
Asilimia 15% kwa mwaka!!!!ngoja niwapige chini hawa ACB wenye riba ya 22% kwa mwaka...loh
Hii ni riba unayopata wewe ukiweka hela zako huko sio riba ya mkopo.
 
Ahaa kumbe ni fixed account...kwa riba za mikopo zikoje huko mkuu
 
access kama hujapeleka rejesho wanakuuzia hadi vijiko....
 
Je? unajua kwa upande mmoja hilo linaweza kuashiria nini? Ni kwamba deposits zao zimeshuka na hivyo wanajitahidi kuzipandisha. Na bank bila ya kuwa na deposits za kutosha haiwezi kukopesha kwa watu binafsi wala treasury bonds. Kwa maana nyingine bank haifanyi biashara. Yaani kama tu kusema hata usalama wa pesa zako kwenye bank hiyo ni mdogo na hata usalama wa wafanyakazi kwenye bank hiyo ni mdogo pia. Na hali ikiendelea hivyo basi itawabidi kuuza hisa ili kujinusuru WASIFILISIKE.
 
Back
Top Bottom