Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,496 Aug 9, 2016 #21 bigonzo said: Mikopo ya kilimo hailipiki ni sawa na kamari...Itakuwaje mvua isiponyesha au mazao yakiliwa na wadudu hawa wanataka kuwatia umasikini wakulima...ukipitisha rejesho siku moja tu wanakuuzia nyumba yako Click to expand... Huo ukulima wako wa kienyeji sana. Hata usije waza kulima.
bigonzo said: Mikopo ya kilimo hailipiki ni sawa na kamari...Itakuwaje mvua isiponyesha au mazao yakiliwa na wadudu hawa wanataka kuwatia umasikini wakulima...ukipitisha rejesho siku moja tu wanakuuzia nyumba yako Click to expand... Huo ukulima wako wa kienyeji sana. Hata usije waza kulima.
Red Giant JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 15,657 Reaction score 20,967 Aug 9, 2016 Thread starter #22 essaugervas said: dhamana yao ni hipi unapoenda kukopa labda Click to expand... Collateral: livestock, home and business items, house, fields, motor vehicles…
essaugervas said: dhamana yao ni hipi unapoenda kukopa labda Click to expand... Collateral: livestock, home and business items, house, fields, motor vehicles…
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,503 Reaction score 6,415 Aug 9, 2016 #23 Meinraldm said: Ninaendelea na process wamekubali kunipa Million 10.kurudisha ndani ya mwaka mmoja.Marejesho kila mwezi. Click to expand... Marejesho ni baada ya miezi mingapi?? Maana nijuavyo mimi mkulima hawezi kulipa kipindi cha kilimo ni mpaka mavuno!! Wanalichuliaje hilo??
Meinraldm said: Ninaendelea na process wamekubali kunipa Million 10.kurudisha ndani ya mwaka mmoja.Marejesho kila mwezi. Click to expand... Marejesho ni baada ya miezi mingapi?? Maana nijuavyo mimi mkulima hawezi kulipa kipindi cha kilimo ni mpaka mavuno!! Wanalichuliaje hilo??
K kamanga2016 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2016 Posts 652 Reaction score 501 Nov 3, 2016 #24 Anayehusika na mikopo hiyo bank naomba anipm please