Access bank wanasema wanatoa mkopo wa kilimo kwa utaratibu huu. kuna mtu amewahi fanikiwa?

Access bank wanasema wanatoa mkopo wa kilimo kwa utaratibu huu. kuna mtu amewahi fanikiwa?

Mikopo ya kilimo hailipiki ni sawa na kamari...Itakuwaje mvua isiponyesha au mazao yakiliwa na wadudu hawa wanataka kuwatia umasikini wakulima...ukipitisha rejesho siku moja tu wanakuuzia nyumba yako

Huo ukulima wako wa kienyeji sana. Hata usije waza kulima.
 
Ninaendelea na process wamekubali kunipa Million 10.kurudisha ndani ya mwaka mmoja.Marejesho kila mwezi.

Marejesho ni baada ya miezi mingapi?? Maana nijuavyo mimi mkulima hawezi kulipa kipindi cha kilimo ni mpaka mavuno!! Wanalichuliaje hilo??
 
Back
Top Bottom