According to Google

Apo kwa Ochweng kuza maandishi sioni vizuri,ishirini na ngapi hapo!
 
Tobo ndo unaona kitu cha maana,duh!!,,adi aibu!!
Mesi,Cr7 best players wanapigwa matobo fatilia video kule youtube utaona.
Kingekua sio kitu Cha maana usingekuta hizo video YouTube
 
Kingekua sio kitu Cha maana usingekuta hizo video YouTube
Sio kila kinachowekwa youtube ni cha maana.kuna Video youtube inamuonyesha shabiki wa Uto anakojoa jukwaani uwanja wa Mkapa iyo video wala haina maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…