Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh tehOnyango bwana mdogo Sana huyoo
Shda ni nusu mtu , nusu chuma ila bado ni mchanga sana huyu, kaacha kunyonya miaka 26 iliyopita!!![emoji12][emoji12]Onyango bwana mdogo Sana huyoo
Wewe na nani mmepigwa?
Atakuwa mayeleWewe na nani mmepigwa?
Out of point..kwani mtu hawezi kucheza vile akiwa na miaka 45?Mdogo wangu kuwa na ndevu sio ukubwa? Acha unyaunyau wako hapa...Onyango ana energy kuliko hata huyo Ngasa kama vp kamulize Mayele!
Ngoja Aseme Uongo WakeWewe na nani mmepigwa?
Kwa speed ya Mayele miaka 45 asingemuweza.Out of point..kwani mtu hawezi kucheza vile akiwa na miaka 45?
Na ndomana alipigwa matoboKwa speed ya Mayele miaka 45 asingemuweza.
Tobo ndo unaona kitu cha maana,duh!!,,adi aibu!!Na ndomana alipigwa matobo
Kingekua sio kitu Cha maana usingekuta hizo video YouTubeTobo ndo unaona kitu cha maana,duh!!,,adi aibu!!
Mesi,Cr7 best players wanapigwa matobo fatilia video kule youtube utaona.
Sio kila kinachowekwa youtube ni cha maana.kuna Video youtube inamuonyesha shabiki wa Uto anakojoa jukwaani uwanja wa Mkapa iyo video wala haina maana.Kingekua sio kitu Cha maana usingekuta hizo video YouTube
Kumbe tobo ni sawa na magoli kwa yangaNa ndomana alipigwa matobo