Account ya bank unayoweza kuweka pesa tu bila kuzitoa ni ipi?

Account ya bank unayoweza kuweka pesa tu bila kuzitoa ni ipi?

nashukuru sana wanajamvi kwa michango yenu kwani imenipa mood ya kuoengeza bidii katika kutafuta account nzuri kwa sisi wadundulizaji hatimaye nimefanikiwa kwa faida ya wanajf wengine wenye tatizo kama nililo kuwa nalo,basi 'malengo account' ya bank ya finca inaweza ikasaidia kwani inakuwa kama fixed acnt lakini hii unaruhusukuweka pesa kidogo kidogo bila kuzitoa hadi muda ulipanga kuzitoa utakapo timia hata hvyo mapungufu yaliyo hapo ni kwamba unaruhusiwa kuvunja mkataba.

mkuu katika hiyo akaunti wanatoa interest?
 
Umenihamasisha mkuu ebu nijuze kuhusu malengo akaunti je ina riba au ni kuweka tu?na process zake ni zipi?

utaratibu ni rahisi tu,we nenda finca ukiwa na kitambulisho na copy yake,hapo utaweza kufunguliwa acount ya aina yoyote ktk bank ya finca.Finca hawana ile ya kwenda kwa ofisa mtendaji wala kupeleka picha wanakupiga picha wao wenyewe.Kuhusu riba yao sijafatilia kwakweli kwasababu mimi shida yangu ni kuweka pesa kwa njia ya kudunduliza bila kuzitoa.
 
PSPF wana kitu kinaitwa fao la hiari,unaweza changia kwa siku/wiki/mwezi kila baada ya miezi 6 wanatoa interest ya 6% ya kiasi kilichopo,iko kama fixed account na hawana makato yeyote
 
PSPF wana kitu kinaitwa fao la hiari,unaweza changia kwa siku/wiki/mwezi kila baada ya miezi 6 wanatoa interest ya 6% ya kiasi kilichopo,iko kama fixed account na hawana makato yeyote

hyo nayo nzuri tatizo huku kwetu bank hzo ni hadimu sana
 
Iyo WADU unayoisema iko bank gani? Sio bank zote zina hiyo aina ya account unayoisema.

Savinga zina interest inaitwa bonus but onl if usipokuwa draw ndani ya kipindi cha miezi mitatu mitatu.... ina faida ukiweka hela nyingi ndio utaiona interest yake maana inaanzia 0.005% na kuendelea kutokana na pesa zako.

soma vizuri comment yangu nimesema benk ya posta tpb
 
nashukuru sana wanajamvi kwa michango yenu kwani imenipa mood ya kuoengeza bidii katika kutafuta account nzuri kwa sisi wadundulizaji hatimaye nimefanikiwa kwa faida ya wanajf wengine wenye tatizo kama nililo kuwa nalo,basi 'malengo account' ya bank ya finca inaweza ikasaidia kwani inakuwa kama fixed acnt lakini hii unaruhusukuweka pesa kidogo kidogo bila kuzitoa hadi muda ulipanga kuzitoa utakapo timia hata hvyo mapungufu yaliyo hapo ni kwamba unaruhusiwa kuvunja mkataba.

WADU plus ya Tanzania postal bank iko hivyo ila ukitaka kuvunja mkataba kwa kuchukua pesa kabla ya muda wa kuchukua unapigwa faini elfu 5
 
Mkuu natumai nami sijachelewa kukupa ushauri. Mimi nakushauri ukafungue Haba na Haba account ya Exim Bank ni nzuri sana Kwa kudunduliza kidogokidogo. Unaweza kuchagua mwaka 1, 2, 3, 5 au 10 na Kwa kiwango tofauti tofauti na faida yao ni kubwa sana. Angalia jedwali hapa chini. Kila la kheri. Kwa maelezo zaidi tembelea tawi lao lililo karibu nawe. How Your money grows [TABLE="class: Text_body_black, width: 499"] [TR="class: Text_body_blue_bold"] [TD="width: 63, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]S/NO [/TD] [TD="width: 155, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]TENOR IN MONTHS [/TD] [TD="width: 145, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]Monthly AMOUNT [/TD] [TD="width: 154, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]MATURITY VALUE [/TD] [/TR] [TR] [TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1 [/TD] [TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12 [/TD] [TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00 [/TD] [TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]320,026.86 [/TD] [/TR] [TR] [TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2 [/TD]

nashukuru sana kwa mawazo yako ndugu rmashauri,ningependa kuyapa kipaumbele mawazo yako kutokana na uzuri wake lakini, kwabahati mbaya huku mkoani kwetu hatuna tawi la exim bank. Mungu akujalie ueendelee na moyo huohuo
 
WADU plus ya Tanzania postal bank iko hivyo ila ukitaka kuvunja mkataba kwa kuchukua pesa kabla ya muda wa kuchukua unapigwa faini elfu 5

sijui kwanini kuna hii kitu kuvunja mkataba,mimi naona kuna kauwezekano cha kushawishika kutoa pesa kabla ya muda lakini,sio mbaya sana kulinganisha na mbinu nyingne za uwekaji pesa mathalani kibubu au saving acnt.
 
nashukuru sana kwa mawazo yako ndugu rmashauri,ningependa kuyapa kipaumbele mawazo yako kutokana na uzuri wake lakini, kwabahati mbaya huku mkoani kwetu hatuna tawi la exim bank. Mungu akujalie ueendelee na moyo huohuo
Uko mkoa gani mkuu naweza kukushauri pia
 
Mkuu natumai nami sijachelewa kukupa ushauri. Mimi nakushauri ukafungue Haba na Haba account ya Exim Bank ni nzuri sana Kwa kudunduliza kidogokidogo. Unaweza kuchagua mwaka 1, 2, 3, 5 au 10 na Kwa kiwango tofauti tofauti na faida yao ni kubwa sana. Angalia jedwali hapa chini. Kila la kheri. Kwa maelezo zaidi tembelea tawi lao lililo karibu nawe. How Your money grows

[TABLE="class: Text_body_black, width: 499"]
[TR="class: Text_body_blue_bold"]
[TD="width: 63, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]S/NO
[/TD]
[TD="width: 155, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]TENOR IN MONTHS
[/TD]
[TD="width: 145, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]Monthly AMOUNT
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]MATURITY VALUE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]320,026.86
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]680,219.90
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,085,620.35
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,055,451.27
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5,767,824.91
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]640,053.71
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,360,439.80
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,171,240.69
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4,110,902.55
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]11,535,649.83
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,280,107.42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,720,879.60
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4,342,481.38
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]8,221,805.10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 23,071,299.66
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 12,801,074.21
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 27,208,796.02
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 43,424,813.84
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 82,218,050.98
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 230,712,996.55
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mkuu nimependa sana ushauri wako nahisi utanifaa ila hili jedwali ndilo limenitoa nduki kidogo. Asante kwa ushauri wako nitatembelea Exim kwa maelezo zaidi..
 
vip kuhusu crdb bank je kwa account ya kawaida unaweza ukawka pesa zako bila ya kuzitoa na kutokua na tatizo lolote!! ??
binafsi nimefungua ac crdb na malngo yangu ni kwamba nawka tu pesa hadi ifkie kiwango ambacho nakiitaji na pia nazingatia pesa yao ya makato yaani kama nawka 50000 basi ña +1000 ya makato ya mwez!!
je hii nayo inafaa????
 
Back
Top Bottom