Account ya bank unayoweza kuweka pesa tu bila kuzitoa ni ipi?

x - mas

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
931
Reaction score
612
habari wapendwa wanajamvi, wajasiriamali huwa tunaingiza pesa kidogokidogo i.e leo elfu kumi, kesho elfuhamsini n.k tofauti na mwajiriwa ambaye huweza kuingiza pesa nyingi kwa mkupuo kila mwisho wa mwezi.Hali hii inaweza kuathiri kutimiza malengo ya manunuzi ya vitu mbalimbali kwani kwa mwajiriwa kama kapanga mwisho wa mwezi ujao anataka anunue baiskeli,malengo hayo yatakuwa rahisi kutimia kwa mwajiriwa kwakuwa pesa yake ni ya mkupuo lakini kwa mjasiriamali ni ngumu kutimiza malengo kama hayo hatakama pesa anayo ingiza kwa siku mara siku thelathini za mwezi zinazidi mshahara wa mwajiriwa,ugumu huu unatokana na watu wengi tunashindwa kuweka pesa kilasiku hadi zifikie kiwango fulani bila kuzitumia kutokana na uwepo wa mambo mengi ambayo yanachochea matumizi ya pesa.
 
Zipo products nyingi tofauti katika mabenki.

Vizuri ukaenda kwenye benki ya karibu yako kupata maelekezo.
 
Fixed account itakufaa kwani yenyewe huwekwa pesa pasipo kutolewa kwa muda fulani ndipo utaruhusiwa kuitoa ila ni vema ukafika kwenye bank yeyote ukapata maelezo vizur
 
Benki hawawezi kukufungulia Fixed account kwa vihela vya elfu hamsini, laki wala laki tano. Tafuta VICOBA au SACCOS hapo jirani ujiunge. Ukiona ngumu tengeneza box la mbao na kufuli uwe uwe unatumbukiza akiba zako. Baadaya ya miezi kadhaa au miaka fungua. Utakuwa na akiba hata ya kununua kiwanja nje kidogo ya Mjini.
 
kweli fixed acnt ni nzuri kama unapata kiasi kikubwa kwa mkupuo na kukizuia humo hadi wakati ambao ungependa kuzitoa pesa hzo bila kuziharibu lakini kwa sisi wadundulizaji bado ni vigumu,asante kwa mchango wako.
 
Benki hawawezi kukufungulia Fixed account kwa vihela vya elfu hamsini, laki wala laki tano. Tafuta VICOBA au SACCOS hapo jirani ujiunge. Ukiona ngumu tengeneza box la mbao na kufuli uwe uwe unatumbukiza akiba zako. Baadaya ya miezi kadhaa au miaka fungua. Utakuwa na akiba hata ya kununua kiwanja nje kidogo ya Mjini.
asante kwa mchango wako mkuu.
 
Fixed account itakufaa kwani yenyewe huwekwa pesa pasipo kutolewa kwa muda fulani ndipo utaruhusiwa kuitoa ila ni vema ukafika kwenye bank yeyote ukapata maelezo vizur

haitamfaa maana anataka kuweka daily. na ile inakuwa mkataba na uaweka pesa at once ili waweze ku calculate interest kutokana na kiasi ulichoweka.. account itakayo mfaa hapo ni saving ambayo haina atm card.
 
fungua saving account baadhi ya bank kuwa hawatoi atm card kwa type hii ya account itakusaidia kusave na kudiscourage withdraw..
 
Mliotaja fixed account mnajua maana yake. Fixed acount ni kwamba unaweka pesa yako kiasi fulani benk kwa kipindi maalumu na ktk hicho kipindi hutaweka tena wala kutoa mpaka muda mfike, na muda ukifika ni lazima ukatoe pesa zako na akaunt inafungwa, lakini mtoa mada anataka akaunt itakayomzuia kuchukua tuu lakini aweze kuweka wakati wowote atakao(kudunduliza), nakushauri nenda benk ya posta kaulizie akaunt inaitwa WADU plus (weka akiba daima unavyopata). akaunt hii ya WADU itakuruhusu kuweka pesa zako wakati wowote katka tawi lolote na kwa kiasi chochote lakini unaruhusiwa kutoa baada ya miez kadhaa tu na watakupa na interest kuanzia 5%
 
akifungua saving account haitampa faida kwani hatapata interest

Iyo WADU unayoisema iko bank gani? Sio bank zote zina hiyo aina ya account unayoisema.

Savinga zina interest inaitwa bonus but onl if usipokuwa draw ndani ya kipindi cha miezi mitatu mitatu.... ina faida ukiweka hela nyingi ndio utaiona interest yake maana inaanzia 0.005% na kuendelea kutokana na pesa zako.
 
nashukuru sana wanajamvi kwa michango yenu kwani imenipa mood ya kuoengeza bidii katika kutafuta account nzuri kwa sisi wadundulizaji hatimaye nimefanikiwa kwa faida ya wanajf wengine wenye tatizo kama nililo kuwa nalo,basi 'malengo account' ya bank ya finca inaweza ikasaidia kwani inakuwa kama fixed acnt lakini hii unaruhusukuweka pesa kidogo kidogo bila kuzitoa hadi muda ulipanga kuzitoa utakapo timia hata hvyo mapungufu yaliyo hapo ni kwamba unaruhusiwa kuvunja mkataba.
 
Mkuu natumai nami sijachelewa kukupa ushauri. Mimi nakushauri ukafungue Haba na Haba account ya Exim Bank ni nzuri sana Kwa kudunduliza kidogokidogo. Unaweza kuchagua mwaka 1, 2, 3, 5 au 10 na Kwa kiwango tofauti tofauti na faida yao ni kubwa sana. Angalia jedwali hapa chini. Kila la kheri. Kwa maelezo zaidi tembelea tawi lao lililo karibu nawe. How Your money grows

[TABLE="class: Text_body_black, width: 499"]
[TR="class: Text_body_blue_bold"]
[TD="width: 63, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]S/NO
[/TD]
[TD="width: 155, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]TENOR IN MONTHS
[/TD]
[TD="width: 145, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]Monthly AMOUNT
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]MATURITY VALUE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]320,026.86
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]680,219.90
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,085,620.35
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,055,451.27
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5,767,824.91
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]640,053.71

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,360,439.80

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,171,240.69

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4,110,902.55

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]11,535,649.83
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,280,107.42

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,720,879.60

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4,342,481.38

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]8,221,805.10

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 23,071,299.66

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 12,801,074.21

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 27,208,796.02

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 43,424,813.84

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 82,218,050.98

[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 230,712,996.55
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Ndugu rmashauri tunaomba ufafanuzi zaidi kwenye hivi vipengele viwili ukitoa mifano rahisi ili mtu wa akawaida aweze elewa kuirahisi, inamaanisha ni hasa !
  • Monthly AMOUNT
  • MATURITY VALUE
 
Last edited by a moderator:

[TD="width: 63, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]S/NO[/TD]
[TD="width: 155, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]TENOR IN MONTHS[/TD]
[TD="width: 145, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]Monthly AMOUNT[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]MATURITY VALUE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]320,026.86[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]680,219.90[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,085,620.35[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,055,451.27[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5,767,824.91[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]640,053.71[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,360,439.80[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,171,240.69[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4,110,902.55[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]11,535,649.83[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,280,107.42[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,720,879.60[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4,342,481.38[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]8,221,805.10[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 23,071,299.66[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 12,801,074.21[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 27,208,796.02[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 43,424,813.84[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 82,218,050.98[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 230,712,996.55[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Mkuu wanakata kodi ama?
 
Ndugu rmashauri tunaomba ufafanuzi zaidi kwenye hivi vipengele viwili ukitoa mifano rahisi ili mtu wa akawaida aweze elewa kuirahisi, inamaanisha ni hasa !
  • Monthly AMOUNT
  • MATURITY VALUE
Mkuu, monthly amount ni kiwango cha pesa unachoweka kila mwezi na maturity value ni pesa unayopewa baada ya kipindi mlichokubalina na benki kuisha. Mfano anayeweza kuweka shilingi milioni moja kila mwezi Kwa miaka kumi, atakuwa ameweka jumla ya milioni 120 ila wao baada ya hiyo miaka kumi wanamlipa milioni 230 na ushee.
 
nashukuru sana wanajamvi kwa michango yenu kwani imenipa mood ya kuoengeza bidii katika kutafuta account nzuri kwa sisi wadundulizaji hatimaye nimefanikiwa kwa faida ya wanajf wengine wenye tatizo kama nililo kuwa nalo,basi 'malengo account' ya bank ya finca inaweza ikasaidia kwani inakuwa kama fixed acnt lakini hii unaruhusukuweka pesa kidogo kidogo bila kuzitoa hadi muda ulipanga kuzitoa utakapo timia hata hvyo mapungufu yaliyo hapo ni kwamba unaruhusiwa kuvunja mkataba.
Umenihamasisha mkuu ebu nijuze kuhusu malengo akaunti je ina riba au ni kuweka tu?na process zake ni zipi?
 
Mkuu natumai nami sijachelewa kukupa ushauri. Mimi nakushauri ukafungue Haba na Haba account ya Exim Bank ni nzuri sana Kwa kudunduliza kidogokidogo. Unaweza kuchagua mwaka 1, 2, 3, 5 au 10 na Kwa kiwango tofauti tofauti na faida yao ni kubwa sana. Angalia jedwali hapa chini. Kila la kheri. Kwa maelezo zaidi tembelea tawi lao lililo karibu nawe. How Your money grows

[TABLE="class: Text_body_black, width: 499"]
[TR="class: Text_body_blue_bold"]
[TD="width: 63, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]S/NO
[/TD]
[TD="width: 155, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]TENOR IN MONTHS
[/TD]
[TD="width: 145, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]Monthly AMOUNT
[/TD]
[TD="width: 154, bgcolor: #E7E7EF, align: center"]MATURITY VALUE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]320,026.86
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]680,219.90
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,085,620.35
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,055,451.27
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]25,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5,767,824.91
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]640,053.71
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,360,439.80
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,171,240.69
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4,110,902.55
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]50,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]11,535,649.83
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,280,107.42
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2,720,879.60
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4,342,481.38
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]8,221,805.10
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]100,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 23,071,299.66
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[TD="bgcolor: #D1D4E5, align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]12
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 12,801,074.21
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]2
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]24
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 27,208,796.02
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]3
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]36
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 43,424,813.84
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]4
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]60
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 82,218,050.98
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]5
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]120
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"]1,000,000.00
[/TD]
[TD="bgcolor: #EAEAEA, align: center"] 230,712,996.55
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Naomba tuambie kima chake cha kufungua akaunti ni bei gan?
 
Back
Top Bottom