Nashindwa elewa hivi wana dukua kivipi? Kwani account ya youtube si lazima iwe na 2FA?
Ona hapa:
Mimi nina namba au email yako ambayo ndio unayotumia kwenye hiyo mitandao yako.
Achana na hilo njoo hapa
Kuverify unaweza chagua via email or sms or kifaa.
Vipi kama nimebeba kifaa chako, zile namba zinazotumwa unachagua kulingana uliyoambiwa na ndio unalogin au kubadili nywila hapo ndo napoanzia kubadili taarifa zako na ubaya wa Google unatumia account moja password moja kumanage kila kitu cha google.
Hiyo ni verification kwa kutumia kifaa.
Njoo kuverify kwa sms
Mimi nina account ya msanii na password yake au sina password Nina email tu nawezajiunga kwenye huduma ya bulk SMS kwa jina flani, alafu nikaweka namba yako na kukutumia ujumbe unaosema hivi
Muda mfupi ujao tutatuma au tumetuma code flani weka kupitia link hii mara baada ya kupokea ujumbe huu.
Hiyo Message nitaituma kwako baada au kabla ya kufanya umafia.
Kwa kuwa tayari nina neno siri na email yako basi nitaingiaje kwa kutumia kifaa kingine kwenye account yako na nikidaiwa kuverify nachagua via sms basi nikisha confirm Message ya google inakuja kwako ikiwa haina link na wewe hutaona link bali code then mimi natuma sms nyingine yenye link hutaona namba zangu bali jina fake mfano from googleteam au support sasa ukijidanganya kubofya hiyo link utakutana na form moja tu kama ya Google ukiingiza hizo code pale nikama umenitumia na nitachukua na kuingiza kule upande wangu mwisho wa siku utaishia kupokea ujumbe unaosema umebadili neno siri wakati unashangaa mimi huku nabadili hadi namba ya simu naweka yangu .
Dah nimeandika bila mpangilio ila umeelewa hiyo ni simple way.
Nyingine unaweza pewa app ukainstall kumbe ina track sms zako na inatuma mahala vipi nikiwa najua email yako na nataka badili password si nafata maelekezo kwenye confirmation unatumiwa wewe code ila mimi huku naziona si naingiza sasa
.
Watu wakubwa hawataki elimu