Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa elewa hivi wana dukua kivipi? Kwani account ya youtube si lazima iwe na 2FA?Mwanamuzi kutoka Tanzania anaejulikana kama diamond Plutnumz kutoka Wasafi Account yake ya YouTube yadukuliwa Kwa mara nyingine Leo tarehe 26 April
Labda session hijack. mimi sio mtaalam wa networking, wanaojua zaidi ngoja waje.Nashindwa elewa hivi wana dukua kivipi? Kwani account ya youtube si lazima iwe na 2FA?
Ndugu yangu hio authentification sio kitu ya kujidanganya kwa mtaalamu anaitoa kama anavyoweza toa tongotongo jichoni mda woteNashindwa elewa hivi wana dukua kivipi? Kwani account ya youtube si lazima iwe na 2FA?
Mkuu embu fafanua kidogo..Ndugu yangu hio authentification sio kitu ya kujidanganya kwa mtaalamu anaitoa kama anavyoweza toa tongotongo jichoni mda wote
sasa ndugu watu wana Hack system za Bank washindwe Account?? ipi ina security ya Level ya juu?????Mkuu embu fafanua kidogo..
Channel inatumia 2FA, na device inayo tumika ni simu yangu!
Haya nieleweshe utapata vipi simu yangu ili uweze kupata kodi za 2FA za chaneli yangu?
Ona hapa:Nashindwa elewa hivi wana dukua kivipi? Kwani account ya youtube si lazima iwe na 2FA?