Account ya Kikundi NMB

Account ya Kikundi NMB

JF2050

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
2,085
Reaction score
44
Wakuu nataka kufungua account ya kikundi (familia) NMB. Ni vitu gani vinahitajika tofauti na mtu anapofungua account binafsi?
 
1. hati ya usajili wa kikundi
2. Muhtasari wa kikao unaoonyesha nia ya kufungua akaunt,waweka saini na signing arrangement pamoja na maudhulio.
3.introduction letter frm VEO au WEO kwa kila signatory.
5. valid and detailed ID ya kila signatory

Wish u all the best.
 
Mkuu mawazoni ahsante sana kwa maelekezo yako. Sasa mkuu, ninachotaka kufungua ni account ya familia, halafu tupo sehemu mbalimbali. Je kikundi hiki ambacho ni cha familia, yaani mimi na ndugu zangu tunaweza kukisajili katika level gani au wapi?
 
itakuwa Business accoint under INFORMAL GROUP. UNREGISTERED mtatambulishwa na ustawi wa jamii/ afisa ushirika. lengo mfanye kukopeshana na ikiwezekana mtafuta mradi. ok lengo kuu ni nn?kipi kitakua chanzo cha mapato ya kuweka ktk akaunt?
 
Chanzo cha mapato mkuu mawazoni mwanzoni ni kwamba kila mtu atatoa mfukoni mwake kuchangia account, lakini baadaye kikundi kitakuwa na miradi ambayo imeshaainishwa hadi sasa hivi. Kukopeshana ni moja ya lengo mkuu, mwanachama akikopa hela atarudisha with interest ili acc iwe endelevu.
 
Wakuu nataka kufungua account ya kikundi (familia) NMB. Ni vitu gani vinahitajika tofauti na mtu anapofungua account binafsi?
Habari mkuu naomba rejesho la huu uzi wako ulifanikiwa? Kama ni ndiyo ulifuata taratibu gani nahitaji kufungua acount ya familia
 
Back
Top Bottom