Account ya Mange Kimambi yadukuliwa

Safi kabisa!! Nampongeza aliyeanzisha kampeni ya kum report Instagram. Taifa letu linakumbwa na watu wenye matatizo ya akili.Huwezi ukawa na akili timamu ukafanya ujinga aliokuwa anaufanya huyo kimini!

Karma imefanya yake. Alimdhihaki na kumtukana sana Magufuli, ametesa watu kwa aibu za kijinga, amedhalilisha Mama zetu na baba zetu. Ningekuwa hakimu ningemfunga kifungo cha kunyongwa hadi kufa! She is more than an embicile. Very dumbass being in this world.

Lakini bado kuna wenzetu walifurahia alivyokuwa anawadhalilisha watu. Na bado anawaungwaji mkono wengi ambao naamini wameumizwa na kufungwa kwa akaunti yake. Waendelee kuumia wapumbavu wenzie.

Tunashukur mno mno kwa hiyo kampeni hadi imemfutia akaunti yake.!
 
FURAHA tu kuona wenzio wanadharirishwa. Subiri siku uje uone connection ya mama yako ndio uuone ubaya wake. Sasa si hazikugusi unafurahia wenzio wanavyoteseka na kudharirishwa, ipo siku itakugusa.
Katika ulimwengu wa Sasa wa kibepali kila kitu ni biashara hata faragha yako ni mtaji kwa wengine.......Kuna watu fantasy zao ni kuona faragha za wengine na hao ndio wanaolipia kwa Mange ili kutazama faragha zako........

Mange hizo video anatumiwa na watu ambao wanafanya kazi hiyo na hao hawana alama anaweza kuwa ni mtu unayemuamini........
 
Kinachotuangamiza sisi Watanzania ni unafiki.....yaani jambo tunaliona zuri na kulifurahia wakifanyiwa watu wengine.......bila ya kujua kuwa Dunia inazunguka.......
 
sasa mdada mrembo kabisa unaenda kuzibuliwa mtaro alafu unakubali kurekodiwa live kabisa, mange akiiturishia hiyo 'connection' mnaanza kumnanga mange ohooo anaingilia faraga, ohooo hufaai ohooo…….! sasa mjinga ni nani apo wewee uliye kubali kurekodiwa live ukiliwa kisamvu cha kopo au mange?? kwa taarifa yako ukirekodiwa live hiyo si faragha tena na ukubali matokeo yake…...ova
 
Mkuu Kwani una connection unipe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…