Sawa kama mtu wa hivyo ndio anakufurahisha maana binadamu tuna mitazamo tofauti.exactly, na hiko ndicho nachokubali mimi nawakubali viongozi walioogopwa mfano Mobutu aliogopwa na hadi wasaidizi wake mfano mkalimani wake alisema alifanya kazi kwa hofu sana maana alijua muda wowote ni kifo,mawaziri na ma gavana wa benki waliogopa kumzingua pia
hii hata nicholo machiavelli anaipenda,alisema , "if one has to chose whether it is better to be loved than feared or better to be feared than loved i say it is safer to be feared"