Account ya Twitter ya hayati Magufuli yaondelewa "blue tick!"

Sawa kama mtu wa hivyo ndio anakufurahisha maana binadamu tuna mitazamo tofauti.
 
Huwa zinaondolewa mtu akifa, unless ndugu wa karibu wakaombe upya kuitumia hiyo acc iwe kama foundation au shirikisho kumuenzi hayati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…