Nimeomba mkopo na nimefanikiwa kupata, ila nikiingia kwenye account yangu niliyosajiliwa chuo sehemu ya financial sponser inaonyesha ni private badala ya HESLB na sehemu ya HESLB loan amount inaonyesha 0.00. Inaweza kuwa tatizo nikatoe taarifa chuo au niache mkopo wangu utaingia kama kawaida.