Nimeomba mkopo na nimefanikiwa kupata,ila nikiingia kwenye account yangu niliyosajiliwa chuo sehemu ya financial sponser inaonyesha ni private badala ya HESLB na sehemu ya HESLB loan amount inaonyesha 0.00.Inaweza kuwa tatizo nikatoe taarifa chuo au niache mkopo wangu utaingia kama kawaida.
sawa, mkuu chuo tulishajisajili toka week iliyopita ngoja nitulie.tulia acha wenge ukifika chuo utapewa maelekezo yote ilimrad heslb wawe wamekupangia mkopo
sawa,mkuu.chuo tulishajisajili toka week iliyopita ngoja nitulie.kama ni ivo onana na wa2 wa mikopo like loan officer
Kama upo Dar nauli yako chap unaweza kuwahi kujielezea kabla mambo hayajawa mengi.Wewe yako madogo ni mdogo wangu batch 1 mkopo alipata lakini juzi naingia kwenye sipa yake nakutana na status mpya ya kukosa mkopo basi aina shida tumekubali tumemuachia mungu
System will update ondoa shakaNimeomba mkopo na nimefanikiwa kupata,ila nikiingia kwenye account yangu niliyosajiliwa chuo sehemu ya financial sponser inaonyesha ni private badala ya HESLB na sehemu ya HESLB loan amount inaonyesha 0.00.Inaweza kuwa tatizo nikatoe taarifa chuo au niache mkopo wangu utaingia kama kawaida.
Nenda loan board na screenshotsWew yako madogo ni mdogo wangu batch 1 mkopo alipata lakini juzi naingia kwenye sipa yake nakutana na stutus mpya ya kukosa mkopo basi aina shida tumekubali tumemuachia mungu
Ni kuchoma nauliNenda loan board na screenshots
Usikate tamaa mkuuNi kuchoma nauli
Hapana ndugu mimi maswala ya bodi nishasahau miaka 5 iliyopita huyo ni ndugu yangu pia bodi nawajua nilisumbuka nao takribani miaka 3 ndo mana nakwambia ni kuchoma nauli awana msaada wowote waleUsikate tamaa mkuu
Nenda loan board
Kumbuka ni maisha yako