Account za SUA mbona hazina comment

Ti Go

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
985
Reaction score
1,004
Ndugu, mbona kwenye account za SUA hawajaweka comment kama mwombaji amepata au la?
 
karibu sua ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ije usome tu hakuna namuna
 
we njoo tu hamna namna
Mkuu kuna dogo amechaguliwa hapo SUA, Bsc.Human Nutrition, hebu nipe ABC kuhusu hii kozi nimshawishi dogo aipige, hasa uwanja wa kujiajiri na kuajiriwa na vipi waliopiga hii kozi ni marketable na hii kozi una deal hasa na nini??
 
Reactions: p2k

kwanz na mkaribisha dogo kwenye depertment. hii kozi inadeal na mambo ya lishe kwanzia kwa wtoto watodo mpaka wazee. wana jua matatizo yanayo sababishwa na upungufu wa nutrient fulani au excess yake jinsi ya kufanya uchunguzi wa kisayance saiz kwa kugundua metabolites za hiz nutrients.
kazi ni mashikira mbali mbali ya vyakula pia hospitalini ni kama doctor vile kwenye clinic mbali mbali kama doctor Mwaka pale nutrionalist wapo wengi tu.
 
Sawa sawa mkuu, serikalini wanaajirika?
 
Hio department ya food science, human nutrition, na fammly consumer ilikuwa na watoto wazuri kipind nasoma sjui sahiv kukoje huko
 
Mkuu kuna dogo amechaguliwa hapo SUA, Bsc.Human Nutrition, hebu nipe ABC kuhusu hii kozi nimshawishi dogo aipige, hasa uwanja wa kujiajiri na kuajiriwa na vipi waliopiga hii kozi ni marketable na hii kozi una deal hasa na nini??
Bibi/babu lishe

Hospital uongo wako very few hawร  utawakuta NGO's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ