Account za SUA mbona hazina comment

Account za SUA mbona hazina comment

Sorry asee nahtaji kuapply sua lkn sekand round baada ya kuona tu bora niapply kitu ambacho nina passion nacho ivi ni koz gan nzuri kwa mamb ya kilimo na ufugaji kwa ujumlaa
agriculture general lakin nasikia wanataka kuitoa
 
nikiona watu wanajadili kihusu kusoma huku mentality zao ni kiajiliwa hua natamani nirudi 20's niifute hii mentality....
 
nikiona watu wanajadili kihusu kusoma huku mentality zao ni kiajiliwa hua natamani nirudi 20's niifute hii mentality....
Kuna kijana alinikopa laki 3 akanambia soon tu naajiriwa nikamwambia sawa ila moyoni nimemsaidia tu. Kisa anasoma udaktari anamaliza nwaka huu ngoja nione mwakani kama ntalipwa deni langu. Vijana bwana😀
 
kama muajiri wako mkuuu ni sarikali ni ngumu zaid ;sector binafsi nazo zinafgwa kila siku. viongozi wetu wanasema vijana tujiajir sasa kama sectors na kampuny zenyewe zimezima fegi ss hai hoi tutazima nn
 
Daah aisee hongera [emoji16]..hii kozi tamu sana sema kuna department zinafanya maisha yake yawe magumu kama fmm
hiyo department ilinitoa jasho sana.Prof Migunga alinitesa sana na hesabu zake.Prof Shemweta nae hakuniacha sana na road constraction
 
Back
Top Bottom