Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
uku shule ipoMbona unasema hamna namna au hakipendw na watu , cuz wengne wanakuja kwa passion zao
Mbona unasema hamna namna au hakipendw na watu , cuz wengne wanakuja kwa passion zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uku shule ipoMbona unasema hamna namna au hakipendw na watu , cuz wengne wanakuja kwa passion zao
Mbona unasema hamna namna au hakipendw na watu , cuz wengne wanakuja kwa passion zao
agriculture general lakin nasikia wanataka kuitoaSorry asee nahtaji kuapply sua lkn sekand round baada ya kuona tu bora niapply kitu ambacho nina passion nacho ivi ni koz gan nzuri kwa mamb ya kilimo na ufugaji kwa ujumlaa
sanaOhoo hatar kwel kwel lkn nimesikia kuna agronomy vip ii ni nzur au
Waoh,wewe ni course mate 😊Nilisha graduate
Bsc forestry
ni coz nzur piaNimefanya kuangalia waliochaguliwa nimeona nafac zimebaki nitajarbu kuomba lkn pia vp kuhusu BVM nayo[emoji23]
sijajuaVp kuhusu ufaulu wao ambao wanahtaji regarding kuna competition
Hilo nakubali ndo maana imeingia kozi mpya Crop production maana hats vyuo vya kati imefutwaagriculture general lakin nasikia wanataka kuitoa
Daah aisee hongera [emoji16]..hii kozi tamu sana sema kuna department zinafanya maisha yake yawe magumu kama fmmWaoh,wewe ni course mate [emoji4]
fmm ndo ipi iyo?Daah aisee hongera [emoji16]..hii kozi tamu sana sema kuna department zinafanya maisha yake yawe magumu kama fmm
Kuna kijana alinikopa laki 3 akanambia soon tu naajiriwa nikamwambia sawa ila moyoni nimemsaidia tu. Kisa anasoma udaktari anamaliza nwaka huu ngoja nione mwakani kama ntalipwa deni langu. Vijana bwana😀nikiona watu wanajadili kihusu kusoma huku mentality zao ni kiajiliwa hua natamani nirudi 20's niifute hii mentality....
kama muajiri wako mkuuu ni sarikali ni ngumu zaid ;sector binafsi nazo zinafgwa kila siku. viongozi wetu wanasema vijana tujiajir sasa kama sectors na kampuny zenyewe zimezima fegi ss hai hoi tutazima nnKuna kijana alinikopa laki 3 akanambia soon tu naajiriwa nikamwambia sawa ila moyoni nimemsaidia tu. Kisa anasoma udaktari anamaliza nwaka huu ngoja nione mwakani kama ntalipwa deni langu. Vijana bwana😀
Department ya forest ambayo ina deal na forest resources ndo kuna kozi kodi zinaanza na fmm mfano forestry biometry wapo complicated sanafmm ndo ipi iyo?
sua wa tu wazito wako forest na wilflife ni vichwa haswaDepartment ya forest ambayo ina deal na forest resources ndo kuna kozi kodi zinaanza na fmm mfano forestry biometry wapo complicated sana
hiyo department ilinitoa jasho sana.Prof Migunga alinitesa sana na hesabu zake.Prof Shemweta nae hakuniacha sana na road constractionDaah aisee hongera [emoji16]..hii kozi tamu sana sema kuna department zinafanya maisha yake yawe magumu kama fmm
Agronomy, Agriculture General , Horticulture & Animal ScienceSorry asee nahtaji kuapply sua lkn sekand round baada ya kuona tu bora niapply kitu ambacho nina passion nacho ivi ni koz gan nzuri kwa mamb ya kilimo na ufugaji kwa ujumlaa