Accountability and Responsibility

Accountability and Responsibility

Aqua

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
1,657
Reaction score
1,231
Elimu haina mwisho na no one knows everything.Samahani wadau naomba maelezo kuhusu matumizi ya maneno haya hasa maofisini.You are accountable,you are responsible,you will be held accountable for...,you are responsible for....Kuna tofauti kati ya maneno haya?NB:If you dont know just stay aside and let those who know drive the show,dont write garbage because you can write.Thank you in advance
 
...Kwa uelewa wangu unapoambiwa kuwa wewe ni responsible kwa jambo fulani maana yake ni kuwa wewe unajukumu la kufanya jambo fulani au una mamlaka juu ya jambo fulani au unatakiwa kuangalia jambo fulani (Having an obligation to do something or having control over or care for something); Pia inasimama kuwa wewe ndiyo chanzo cha jambo fulani kwa hiyo unapaswa kubeba lawama au pongezi kwa jambo hilo ( being the primary cause of something and so able to be blamed or credited for it; unapoambiwa responsible to ina maana unatakiwa kuwajibika kwa... Na juu ya accountability, ni kuwa unapoambiwa you are accountable kwa jambo fulani kwa uelewa wangu ni kuwa, unatakiwa au unategemewa to kuthibitisha matendo au maamuzi yako bila mashaka yoyote (required or expected to justify actions or decisions), pia mbadala wa hili neno ni explicable au understandable! Nawasilisha mkuu
 
...Kwa kuongezea sina hakika kama ni sawa kusema "You will be held accountable..." mimi nafikiri ni sahihi kusema " you will be held responsible for...."
 
Accountability refer to action,results and managing while responsibility refer to more of ownership. Nafikiri Kilembwe atakuwa amefafanua zaidi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom