Mada yajieleza.Naomba kufahamu kati ya kozi hizo:accountancy na procurement yenye kulipa zaidi kwa misingi ya mazingira kazi yenye kutoa mwanya wa kutengeneza pesa zaidi ya nyingine.Kalibuni.
You may choose both ila nadhani kwa soko la ajira la sasa procurement inaanza kulipa ila accountancy ndo inalipa zaidi Mdau na imekuwa sokoni kitambo kidogo.
Binafsi naiangalia procurement as an alternative to accounts