accountancy v/s procurement and supply,ipi kati ya kozi hizi mbili inalipa zaidi.

accountancy v/s procurement and supply,ipi kati ya kozi hizi mbili inalipa zaidi.

Nicky nicky

Senior Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
106
Reaction score
9
Mada yajieleza.Naomba kufahamu kati ya kozi hizo:accountancy na procurement yenye kulipa zaidi kwa misingi ya mazingira kazi yenye kutoa mwanya wa kutengeneza pesa zaidi ya nyingine.Kalibuni.
 
You may choose both ila nadhani kwa soko la ajira la sasa procurement inaanza kulipa ila accountancy ndo inalipa zaidi Mdau na imekuwa sokoni kitambo kidogo.
Binafsi naiangalia procurement as an alternative to accounts
 
Accounting sababu unafanya kazi popote pale kuanzia shuleni mpaka hospitalini,mashirika ya umma,binafsi,unaweza pia kujiajiri
 
Back
Top Bottom