Accountancy Vs Insurance and Risk Management

Siza Boy

Member
Joined
May 25, 2020
Posts
80
Reaction score
43
Wana Jf nahitaji msaada wa mawazo yenu kwa wale wazoefu wa hizo courses..

Nimechaguliwa Course ya Insurance and Risk management "IFM",, But Nina wazo la kubadili niende Accountancy.

So kwa wanao fahamu Course nzuri na yenye ajira kidog kati ya hizo mbili nahitaji msaada wenu!!
 
Accountancy inahusika utojuta mkuu, utafanya kazi kila taasisi tofauti na insurance
 
Soma accountancy achana na insurance haina ajira
 
CAG [emoji851]
 
Nenda Accountancy bila kusita
 
Unapoteza muda tu Bongo Dar es salaam form four ya division four inatosha sana
 
Duuh hayo yote mpaka umalize jumla inakuwa n miaka mingap.?
Miaka ya daktari hivi, sio mbaya kama mtu atakomaa hasa vijana wanaoanza chuo mapema na miaka 20 akifika 25 kamaliza walau CPA kama atakuwa mzuri wa uhasibu.

Kuanzia hapo chance za kutoboa zinakuwa wazi. Cha msingi ajiingize intern kwenye auditing firms huwa channel zinapatikanaga kule kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…