Accountancy Vs Insurance and Risk Management

Accountancy Vs Insurance and Risk Management

So kwa wanao fahamu Course nzuri na yenye ajira kidog kati ya hizo mbili nahitaji msaada wenu!!
Bachelor of Accounting ni nzuri sana kuliko Insurance hasa linapokuja suala la ushindani katika soko la ajira kwa mapana yake
Go for accounting

BAF memes
 
Miaka ya daktari hivi, sio mbaya kama mtu atakomaa hasa vijana wanaoanza chuo mapema na miaka 20 akifika 25 kamaliza walau CPA kama atakuwa mzuri wa uhasibu.

Kuanzia hapo chance za kutoboa zinakuwa wazi. Cha msingi ajiingize intern kwenye auditing firms huwa channel zinapatikanaga kule kule.
Wazo zuri pia mkuu. I adore it
 
Duuh hayo yote mpaka umalize jumla inakuwa n miaka mingap.?
Vikana wengi hapo ndipo tunapo fail tukiamini eti muda utachelewa

Dogo ktk maisha hakuna kuchelewa
Unaweza usipate pesa ujanani ukaja kuikamata unaelekea uzeeni lkn unakuwa tayari ushaipata pesa So ww nenda kasome vyote ivyooooo
 
Back
Top Bottom