Accounting and business development services

Accounting and business development services

mutu ya watu

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2010
Posts
213
Reaction score
41
Wanajukua tupendakuwaarifu kuwa tunatoa huduma za KIHASIBU na USHAURI wa KIBIASHARA(part-time basis) kwa wajasiriamali wadogo na wasaize ya kati ambao kwa namna moja au nyingine wanashindwa kumuda malipo ya huduma hizo .

Bei zetu ni nafuu Tsh 60,000/ once a month, Tshs 200,000 per month twaweza kukutembelea zaidi ya mara tano kwa mwezi.

Huduma/our services.

  • · Accounting records & Book-keeping.
  • · Financial Statements / (final accounts) preparations.
  • · Preparation on Financial projections statements.
  • · Consultation on Tax matters; Tanzania Tax laws and Regulations.
ü Vat Returns & fillings,
ü Tax Returns, Payees, SDL etc.

  • · Other Services.
ü Consultation on Auditing matters.
ü Use of Accounting Packages.
ü Statutory payments e.g. PPF/NSSF etc.
ü Business Plans & Development.
ü Payroll.

Why Part-time Accountant?

  • · It is the best choice for small & medium enterprises/organizations who are eager to grow and who cannot afford to hire a full time accountant.
  • · The running cost will be minimized since the payment is based on service rendered based on working time.
  • · The running cost will be minimized since there will be no more PPF/NSSF payments ( No employer contributions)
  • ·

Remember; among of hidden obstacles to the business growth especial small & medium enterprises is poor maintenance & ignorance on "accounting matters" and "Tax matters" .

"Together we can grow"

Karibuni Wadau waweza tuma PM kwa maelezo zaidi.
 
Huduma/ushauri wetu pia zaweza kukufungua kujua utofauti uliopo kati ya mfanyabiara anayetunza vitabu(accounts record maintanance) na mfanyabiara asiyetunza vitabu(non maintanance) katika kulipa kodi kwa mujibu wa sheria (Income tax act).
 
mkuu itapendeza kama utaweka proper information ya jinsi watu wanavyoweza kuwapata ie physical address ya ofisi, no za simu za ofisi, e mail address na hata website kama mnayo. kama unaweza tupia hata ka article kidogo kakuelimisha wajasiriamali faida watakazozipata kwa kutumia huduma za kihasibu. all the best on your firms growth
 
Ni kweli lakini isiwe ndio ametoa ushauri wenyewe!!
 
mkuu itapendeza kama utaweka proper information ya jinsi watu wanavyoweza kuwapata ie physical address ya ofisi, no za simu za ofisi, e mail address na hata website kama mnayo. kama unaweza tupia hata ka article kidogo kakuelimisha wajasiriamali faida watakazozipata kwa kutumia huduma za kihasibu. all the best on your firms growth

mkuu mjasiriamalidzaman nakushukuru kwa ushauri wako mzuri, ushauri wako tutauzingatia.
Kupitia kwa wateja wangu nimebaini kuwa wajasiriamali waliowengi bado hawajajua umuhimu wa kujua sheria ya kodi (income tax act ) na ni kiasi gani kodi(tax) inavoweka kuathiri biashara (hapa siongelei kukwepa kodi) unakuta mjasiliamali unabaki kukimbizana na TRA tu hii ni kwasababu ya kutojua nafasi yako na haki yako kama mjasiliamali.

Imefika wakati watanzania tuache kulalama ooh kuna misamaha ya kodi, Ooh wageni wanafaidi, ni kweli misamaha ipo, lkn ipo kwa mujibu sheria zetu wenzetu(Wageni) wakija wanaitumia hiyo fursa ya misamaha. Hapo ndo nimeanza kuamin kuwa "'ukitaka kumnyima mtanzania ujuzi weka kwenye maandishi" . Ukiwezeka tuwatumie baadhi ya wataalam tulionao.
 
Niseme tu, tuko tunaandaa makala nyingi ambazo zitaelimisha wajasiliamali, hasa wadogo na saizi ya kati (wengi hatuna elimu hiyo) wenzetu wenye mitaji wanaajiri watalaam na makampuni makubwa. "kama huijui haki huwezi kuitetea" . kutojua haki yako kunakaribisha rushwa.
 
Back
Top Bottom