Asante sana mkuuShuleSoft School Management System watembelee hao jamaa hautajutia.
Namkaribisha sana PM kwa mawasiliano zaidiIvan Stepanov kazi hiii
Shukran mdogo angu mshamba_hachekwi . I appreciate you.Ivan Stepanov kazi hiii
Habari wakuu.
Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali angali bado mapema.
Naomba kujuzwa mifumo ya kihasibu inayotumika mashuleni hasa nursery and primary school.
Ahsanteni
Tumia excelHabari wakuu.