MZALENDOWAKWELIKWELI JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Feb 28, 2015 #1 Naomba mwenye misamiati ya kiswahili sanifu katika taaluma ya uhasibu anisaidie ikiwemo maneno kama accrual, IPSAS, Balance sheet, Statement of financial perfomance, audit opinion nk
Naomba mwenye misamiati ya kiswahili sanifu katika taaluma ya uhasibu anisaidie ikiwemo maneno kama accrual, IPSAS, Balance sheet, Statement of financial perfomance, audit opinion nk
T TALEI Member Joined Jan 2, 2013 Posts 49 Reaction score 6 Feb 28, 2015 #2 Halisi,mfumo wa ufingaji wa hesabu katika viwango vya kimataifa, mizania,hati ya mwenendo wa fedha, maoni ya mkaguzi
Halisi,mfumo wa ufingaji wa hesabu katika viwango vya kimataifa, mizania,hati ya mwenendo wa fedha, maoni ya mkaguzi
MZALENDOWAKWELIKWELI JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Mar 3, 2015 Thread starter #3 TALEI said: Halisi,mfumo wa ufingaji wa hesabu katika viwango vya kimataifa, mizania,hati ya mwenendo wa fedha, maoni ya mkaguzi Click to expand... Nakushukuru isipokuwa "accrual" sina hakika kama 'halisi' itakuwa ndo maana sahihi.......
TALEI said: Halisi,mfumo wa ufingaji wa hesabu katika viwango vya kimataifa, mizania,hati ya mwenendo wa fedha, maoni ya mkaguzi Click to expand... Nakushukuru isipokuwa "accrual" sina hakika kama 'halisi' itakuwa ndo maana sahihi.......