Accrual kwa Kiswahili tafadhali

Accrual kwa Kiswahili tafadhali

MZALENDOWAKWELIKWELI

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
331
Reaction score
210
Naomba mwenye misamiati ya kiswahili sanifu katika taaluma ya uhasibu anisaidie ikiwemo maneno kama accrual, IPSAS, Balance sheet, Statement of financial perfomance, audit opinion nk
 
Halisi,mfumo wa ufingaji wa hesabu katika viwango vya kimataifa, mizania,hati ya mwenendo wa fedha, maoni ya mkaguzi
 
Halisi,mfumo wa ufingaji wa hesabu katika viwango vya kimataifa, mizania,hati ya mwenendo wa fedha, maoni ya mkaguzi

Nakushukuru isipokuwa "accrual" sina hakika kama 'halisi' itakuwa ndo maana sahihi.......
 
Back
Top Bottom