Acha achaa, ila bado akaendelea

Yaani akili yangu ni nyepesi kung'amua mambo mbalimbali...lakin kwa makonda imeshindwa kabisaa
 
Mara baada ya hiyo Ishara, alikata hotuba,

Maana aliposema, " wengine wanapewa nguvu na viongozi tunaowaheshimu",

Angeendelea zaidi, Leo asingekuwa Ofisini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…