Acha hii tabia za kutuma meseji kwa watu usiowajua


Wanajaribu bahati zao mkuu
 
Ndiyo maana naipenda telegram, huku hatuna ku view status [emoji23][emoji23] afu mtu akikuletea ujinga una block na ku report spam zikifika kadhaa account yake inayeyuka au kila anapotembea anakua anajulikana ni scammer..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…