Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,026
- 2,266
Ukimaliza kungalia Status na bando la buku limeishaHao ndo wale ukisave number zao unaanza kushuhudia status 70+ per day
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaliza kungalia Status na bando la buku limeishaHao ndo wale ukisave number zao unaanza kushuhudia status 70+ per day
connection za video call tu.Hapa mtaishia kutengeneza aina gani ya connection mkuu?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wanadhani online business ni nyepesi wakati watu wanalipia dollars kusoma Digital marketing na wanakesha asubuhi, mchana jioni kuandaa contents za maana na kujifunza vingi zaidi.
Mtu unakaa na simu unakopi na ku-paste meseji kama hizi then unasubiri wateja.
Safari ni ndefu
Ni vizuri pia, ila kuandaa mpango mkakati rafiki katika kujaribu bahati ni jambo jema sana na lenye kurahisisha kazi.Wanajaribu bahati zao mkuu
Ndio kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], kwahiyo hii ndiyo kazi pekee mnayobaki nayo?