ACHA KABISA - Christian Bella FT Koffi Olomide

ACHA KABISA - Christian Bella FT Koffi Olomide

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
14,624
Reaction score
20,666
acha acha acha kabisa ... x4


Huu ndio wimbo ulionikamata kwa leo
 
Dah! huu ndio wimbo sasa mkali balaa hauhitaji kiki za wanawake wala kuwa na team, big up sana Bela.
 
Wimbo ni mzuri sana tena sana,ila kanuni ya sasa Duniani ya kutambua muziki mzuri ni ya wimbo kuuza na kuchezwa redioni na tv sana kuliko nyingine.
 
Back
Top Bottom