Acha kuandika Business Plan (Mpango wa Biashara) kwa kukisia! Jipatie Templates za Kitaalamu za Biashara Yoyote.

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Je, una wazo la biashara au tayari una biashara inayofanya kazi lakini huna nyaraka rasmi za kuwasilisha benki kwa ajili ya mkopo au kwa wawekezaji?
Tumezindua Templates za Kitaalamu zitakazokuokoa muda na kukupa muonekano wa kisasa mbele ya wakopeshaji au watoa fedha.

1. Business Plan Template: Muundo kamili wa kibenki (Bankable format) unaofaa kwa biashara yoyote. Inakuongoza kuandika uchambuzi wa soko, usimamizi, na mikakati ya mauzo kwa urahisi.

2. Financials Reporting Template: Mfumo thabiti wa Excel wenye fomula zote tayari. Unaingiza tu namba zako, nao unazalisha ripoti za Cash Flow, P&L, na Balance Sheet kiotomatiki!
Nani anapaswa kuwa nazo hizi?

1. Wafanyabiashara na Wajasiriamali wote (SMEs)
2. Watu wanaotaka kuomba mikopo ya mabenki au mifuko ya uwekezaji
3. Wataalamu wa ushauri wa biashara (Consultants).

Kama unahitaji mojawapo ya hizo templates usisite kututafuta.
📞 Mawasiliano yetu ni:
WhatsApp: 0687746471/0747744895
Email: [email protected]

Image.jpg

#BusinessPlan #FinancialModeling
#MchanganuoWaBiashara #FinancialReporting #AccountingTemplates #ExcelTemplates #MpangowaBiashara #Taarifazakifedha #AndikolaMradi
 
View attachment 3599002

Back
Top Bottom