Acha kubet kwa M-PESA

Acha kubet kwa M-PESA

MANGUNGO

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
1,536
Reaction score
353
Ushaidi wangu huu.Hizi mechi za tarehe 1 ilitakiwa zilipwe leo tarehe 2 lakini mpaka sasa hazijalipwa na simu zao wanazima ...hawapatikani hewani...nimedhurumiwa pesa na hao jamaaa ushaidi huu hapa..mkataba ni kwamba wanalipa ndani ya 24 hrs lakini sio kweli...najipanga kwenda vyombo/mamlaka husika nipate msaada wa kisheria pesa isipotee tu bure kwa wizi wa aina...funzo kwenu wadau.ushaidi huu hapa...inauma sana!!!
 
Attachments

  • 1420217413190.jpg
    1420217413190.jpg
    68.5 KB · Views: 865
  • 1420217429326.jpg
    1420217429326.jpg
    67.6 KB · Views: 499
Mkuu siki hizi tunabet online ingia hapa jisajili mpira golini pesa mkononi sijawahi dhurumiwa na mbet m-bet.co.tz
 
Ushaidi wangu huu.Hizi mechi za tarehe 1 ilitakiwa zilipwe leo tarehe 2 lakini mpaka sasa hazijalipwa na simu zao wanazima ...hawapatikani hewani...nimedhurumiwa pesa na hao jamaaa ushaidi huu hapa..mkataba ni kwamba wanalipa ndani ya 24 hrs lakini sio kweli...najipanga kwenda vyombo/mamlaka husika nipate msaada wa kisheria pesa isipotee tu bure kwa wizi wa aina...funzo kwenu wadau.ushaidi huu hapa...inauma sana!!!

jaribu kuwapigia simu uwaulize nini tatizo MANGUNGO
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom