MANGUNGO
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 1,536
- 353
Ushaidi wangu huu.Hizi mechi za tarehe 1 ilitakiwa zilipwe leo tarehe 2 lakini mpaka sasa hazijalipwa na simu zao wanazima ...hawapatikani hewani...nimedhurumiwa pesa na hao jamaaa ushaidi huu hapa..mkataba ni kwamba wanalipa ndani ya 24 hrs lakini sio kweli...najipanga kwenda vyombo/mamlaka husika nipate msaada wa kisheria pesa isipotee tu bure kwa wizi wa aina...funzo kwenu wadau.ushaidi huu hapa...inauma sana!!!