Acha kudharau watu ipo siku utaviacha hivyo unavyo jidaiya

Ukiwa busy na mambo yako huwezi kuona huo upuuzi unaoitwa dharau..

Nyie ndo wale wavivu mliozoea kubebwa bebwa.
 
Kama hujawai kukutana na dharau za hawa watu utanichukulia kama mim nina wivu na maendeleo yao rahasha mim nimewachana coz nishawai kunyanyaswa sana na hawa mbwa
 
Yaani hata uishi vipi utadead tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…