Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,720
- 5,659
Ukipenda kujionea huruma na kuyapa maisha yako sababu ya kutokufanya yakupasayo kufanya kwasababu unasema ni magumu kufanyika, ukaamua kuchagua yaliyo mepesi kwako naamini siku zijazo maisha hayatotupa sababu ya wepesi lazima yatakua magumu.
Tunapenda maamuzi mepesi,maamuzi ya kusema
-Siwezi
-Siamini kama nitafanikiwa, heri ni tulie tu
-Kama ipo ipo tu yanini kujitesa
-Kujilaumu kisa umepata hasara,umefukuzwa kazi, na kuamua kuacha kupambana tena
-Kuhairisha ndoto zako ukisema, sina mtaji nitafanyaje sasa
-Nikishindwa nitarudi kwa wazazi wangu,sikufukuzwa kwetu
-Umri wangu umenipa mkono, siwezi kuanza upya N.K
Am telling you haya ni maamuzi rahisi leo kuyachukua ila yatazaa ugumu wa maisha baadae...
Nakushauri anza sasa.