Acha kulaumu kuhusu marafiki feki

hermanthegreat

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,274
Reaction score
3,282
Hello wanajf,

Siku hizi kumekuwa na ongezeko la chuki Kati ya ndugu na marafiki baada ya mmoja wapo kuona Kama anakosa msaada kwa wengine anaishia kulalama na kuona Kila mtu mbaya.

Ukifahamu hakuna mtu aliyezaliwa kwa ajili ya matatizo yako utagundua kuwa hakuna mtu mbaya au mwenye roho mbaya hapa duniani.

Hivyo punguza utegemezi na uache kulaumu kila mtu.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…