Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 491
- 180
Watu wengi wanapenda kusheherekea mwaka mpya bila ya kujua kama unasheherekea kukaribia kwa kifo chako mana kila siku zinavyo sogea kifo ndio kinazidi kukaribia mimi kila unapo kuja mwakampya huwa na huzuni najua siku zinazidi kupungua,jamani tuwe tunahuzunika sio kufurahia sikuhizi mtuukifikisha miaka 60 shukuru mungu