Acha kusheherekea kifo chako

Acha kusheherekea kifo chako

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
Watu wengi wanapenda kusheherekea mwaka mpya bila ya kujua kama unasheherekea kukaribia kwa kifo chako mana kila siku zinavyo sogea kifo ndio kinazidi kukaribia mimi kila unapo kuja mwakampya huwa na huzuni najua siku zinazidi kupungua,jamani tuwe tunahuzunika sio kufurahia sikuhizi mtuukifikisha miaka 60 shukuru mungu
 
Kufa lazima na hatuwezi zuia harakisha wala chelewesha. So maisha inabidi yasonge na hayawezi songa mbele kama siku zimesimama. Maana kadri siku zinavyosogea ndo tunajifunza na kusogea hatua nyingine. Umefikiria Kama siku zingeganda ungekuwa wapi..? C ajabu ungekuwa bado mtoto hata hapa JF usingekuwepo..! Tafakari
 
Watu wengi wanapenda kusheherekea mwaka mpya bila ya kujua kama unasheherekea kukaribia kwa kifo chako mana kila siku zinavyo sogea kifo ndio kinazidi kukaribia mimi kila unapo kuja mwakampya huwa na huzuni najua siku zinazidi kupungua,jamani tuwe tunahuzunika sio kufurahia sikuhizi mtuukifikisha miaka 60 shukuru mungu
Ya Fatma naona umekuja kutushika kwenye jukwaa hili la jokes,karibu sana naona umeamua kuingia na jina lako sasa kama hiyo nayo ni picha yako kazi ipo.
 
Ukisikitika siku za kuishi ndo zinaongezeka?
 
Back
Top Bottom