Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 491
- 180
Ya Fatma naona umekuja kutushika kwenye jukwaa hili la jokes,karibu sana naona umeamua kuingia na jina lako sasa kama hiyo nayo ni picha yako kazi ipo.Watu wengi wanapenda kusheherekea mwaka mpya bila ya kujua kama unasheherekea kukaribia kwa kifo chako mana kila siku zinavyo sogea kifo ndio kinazidi kukaribia mimi kila unapo kuja mwakampya huwa na huzuni najua siku zinazidi kupungua,jamani tuwe tunahuzunika sio kufurahia sikuhizi mtuukifikisha miaka 60 shukuru mungu