Acha kushindana na Mwanamke

Acha kushindana na Mwanamke

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Unashindanaje na kiumbe ambacho kina nyoa nyusi halafu kinajichora nyusi na Wanja?

Unashindanaje na kiumbe ambacho kinakata kucha halafu kinajiweka kucha bandia?

Unashindanaje na kiumbe ambacho kinavaa mini skirt halafu anahangaika kuivuta chini ili iwe ndefu?

Unashindanaje na kiumbe ambacho kinapaka make up halafu kikiambiwa wewe ni mzuri kinasema Asante?

Unashindanaje?

Uzi Tayari.
 
Back
Top Bottom