Acha kusumbua watu wakuchangie kwenye harusi yako

Acha kusumbua watu wakuchangie kwenye harusi yako

Kuna mambo ya kushikana mikono mfano misiba, ugonjwa n.k. Sherehe ya harusi ni anasa tu wala haina umuhimu wowote...ndio maana unatakiwa kufanya kwa kadri ya uwezo wako bila kusumbua watu
Sababu kubwa kabisa ya umaskini ni "kujiandaa kuumwa, kustaafu na kuogopa kuishi sasa kwa maisha ya kesho ambayo huyajui"
Ksho ityajisumbukia!
 
Back
Top Bottom