Acha kuteseka, dawa za vidonda vya TUMBO ZIPO!

Ukitaka kujua kama una ugonjwa wa vidonda vya tumbo lamba asali mbichi vijiko vya chai vitatu. Ukisikia kichefuchefu elewa kuwa una vidonda vya tumbo. Wagonjwa wengine wakitumia asali kwenye chai kwa muda mrefu kama mwezi hivi wanapona.
 
Unaona sasa!!!
Tunaitwa matapeli.
Wabongo tuna ujinga mwingi sana.

Kuna mtu kafungua uzi anasumbuliwa na vidonda vya tumbo, nenda kampe ushauri smart boy!!!
Kuna jamaa mwingine ana dawa ya mitishamba iko kama majani hivi. Ukisha ichemsha ikapoa unachanganya na asali, kitunguu saumu na limao. Ukinywa mchanganyiko huo kwa muda wa wiki moja unapona. Huyo jamaa yupo Morogoro mjini.
 
Ukitaka kujua kama una ugonjwa wa vidonda vya tumbo lamba asali mbichi vijiko vya chai vitatu. Ukisikia kichefuchefu elewa kuwa una vidonda vya tumbo. Wagonjwa wengine wakitumia asali kwenye chai kwa muda mrefu kama mwezi hivi wanapona.
Kuna mtu alinambia kila asubuhi niweke vijiko viwili kwenye maji ya vuguvuvu ila sjawah jaribu
 
Nimempiga simu wala sio mzee lakini pia ni tapeli usithubutu
 
Kwa taaluma yangu ya miti hii miziz nilivyo iangalia tu nishaijua na ilo gome nimelijua pia
Mkuu naweza kupata dawa ya kuongeza hamu ya mapenzi?

Nimeenda hospital nikaambiwa Nina low testosterone yaani hormone yangu ipo chini. Nimetumia dawa bila mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…