CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Aug 14, 2026 #81 Huyo jamaa ni Tapeli wakuu. Msithubutu kujaribu. OGOPA MATAPELI.
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,119 Reaction score 32,195 Sep 6, 2026 #82 Keyboard_Warrior said: Vina mahusiano! Click to expand... Mwenye vidonda vya tumbo vikaoi rahisi kupata bawasiri. Sababu wengi wanapata choo kigumu kwa shida inapelekea kupata bawasiri.
Keyboard_Warrior said: Vina mahusiano! Click to expand... Mwenye vidonda vya tumbo vikaoi rahisi kupata bawasiri. Sababu wengi wanapata choo kigumu kwa shida inapelekea kupata bawasiri.
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,119 Reaction score 32,195 Sep 6, 2026 #83 Toeni ushihuda mlio wasiliana na huyo mzee.
Ruwamangi JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 1,380 Reaction score 2,576 Sep 11, 2026 #84 Ngunya1 said: Nimempiga simu wala sio mzee lakini pia ni tapeli usithubutu Click to expand... Sure ni tapeli, mara sijui tuma hela nikafuatilie dawa porini, nahisi mlete mada ndo yeye🤣🤣🤣
Ngunya1 said: Nimempiga simu wala sio mzee lakini pia ni tapeli usithubutu Click to expand... Sure ni tapeli, mara sijui tuma hela nikafuatilie dawa porini, nahisi mlete mada ndo yeye🤣🤣🤣
Ruwamangi JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 1,380 Reaction score 2,576 Sep 11, 2026 #85 Titicomb said: Toeni ushihuda mlio wasiliana na huyo mzee. Click to expand... Hakuna kitu ni tapeli. Kama huamini mpigie hatoi dawa bila hela tofauti na mtoa mada alivyotanabaisha hapa kuwa "ukipona utaangalia cha kumpa" 🤣🤣🤣
Titicomb said: Toeni ushihuda mlio wasiliana na huyo mzee. Click to expand... Hakuna kitu ni tapeli. Kama huamini mpigie hatoi dawa bila hela tofauti na mtoa mada alivyotanabaisha hapa kuwa "ukipona utaangalia cha kumpa" 🤣🤣🤣
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,406 Reaction score 9,830 Sep 14, 2026 #86 Aisee kumbe ni tapeli ila sio vizuri kuwapa watu tumaini la uongo