Acha kuteseka na umeme kwenye nyumba za kupanga

Acha kuteseka na umeme kwenye nyumba za kupanga

Joined
Oct 24, 2018
Posts
49
Reaction score
65
Submita kata umeme inakuwezesha Kutumia umeme wako mwenyewe, Acha kuokota fundi mtaani. Ukihitaji Submita nitakuuzia na kukufungia.

Pia nitakupa Elimu namna yakuitumia Submita hiyo. Wengi wamekuwa wakipata changamoto namna ya kuitumia na wakati mwingine kutaka hata kuzifungua....

Kufunga Submita bila kupewa Elimu jinsi ya kuitumia mateso. Submita moja ni shilingi 130,000. Ukihitaji nyingi utapata punguzo. Ukinunua kuanzia kumi utapata ofa ya umeme wa Shilingi 20000.Bure. karibu mteja Jisikie huru.
 
Mi kuna namna huwa siielewi kwenye submeter naomba unieleweshe, nikinunua umeme nikaingiza kwenye main meter kisha nikavend....je umeme huu utatumika kote au inakua umehamia wote kwenye sub meter?
 
Back
Top Bottom