Acha kutongoza Uswahilini

Wacheni tunaopenda kuhonga tuhonge bhana
Kwenda huko.
 
Sasa mkuu hao wanawake wana tofauti gani na wale wanaume wanaotongoza kwa lengo la kupiga na kusepa tu (na ni wengi mno)??

Yaani mnatakaga wanawake tu ndiyo wajicommit kwenye mahusiano ili waishie kuumia wao tu kila siku si ndiyo??
Hujaelewa mada inazungumzia nin mpaka ss,mmeambiwa mnapotongozwa muache kututangazia njaa zenu....,hayo uliyozungumzia ww hayahusiani na mada
 
@CONTROLA,Umemaliza dingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo lazima kila mtu akubaliane na mada iliyoanzishwa, mawazo yake siyo sheria.

Kama haujui maana ya "kuchangia mada" nakuomba rudi shule mkuu
Mm na ww nani amekwepa hoja?,uelewa kwako ni msamiati
 
Mademu wa Uswahilini ndiyo hawana gharama kabisa! Na mapenzi wanayajua sana. Mizinga yao siyo mikubwa sana ila inakuwa ya kila siku.

Ila hawa wanaojiita classic, kitandani zero ila mizinga yao sasa balaa!
 
Mademu wa Uswahilini ndiyo hawana gharama kabisa! Na mapenzi wanayajua sana. Mizinga yao siyo mikubwa sana ila inakuwa ya kila siku.

Ila hawa wanaojiita classic, kitandani zero ila mizinga yao sasa balaa!
Classic ni nomaa,unapigwa kombola la scud!! Utakimbia mwenyewe...tena ukute single mama...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Acha ubahili πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
unakuta demu anakaa manzese au tandale ndani ndani huko..dah..wa hivyo hata bure hapana asee..naona kama wana uswahili mwingi.
 
Rais Magufuli punguza kama sio kulegeza angalau mzunguko uongezeke kidogo
 
kuna mwingine utakuta anapiga mzinga sh 6000 elfu sita yani hadi huwa nakeleka mtu mzima utaombaje elfu sita huwa naona kama utani basi namtumia elfu kumi.

Hivi ni standard operating procedure au manake mademu wangu wa uswazi tu ndio hunipiga mizinga iyo alafu bado wana zile ukimwita sehemu anakuja na wenzake
 
Classic kielimu, mavazi, kazi au biashara, mtindo wa maisha lakini mizinga palepale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…