Acha kutongoza Uswahilini

Acha kutongoza Uswahilini

Ha ha ha..... Vipi anaweza hata kuhimili kupiga stori 2/3, au ndo wale unaona aibu hata kumtambulisha kwa washikaji ye Ni wakuliwa tu nothing more/less
Story anapiga ila kumtambulisha siwezi aisee. Huwa natambulisha zile pini tu za kishua ambazo ukigonga hufaidi kivile siku nikitaka ku enjoy ndio namtafuta huyu sungura tope manake ana vurugu hatari
 
Story anapiga ila kumtambulisha siwezi aisee. Huwa natambulisha zile pini tu za kishua ambazo ukigonga hufaidi kivile siku nikitaka ku enjoy ndio namtafuta huyu sungura tope manake ana vurugu hatari
Na hivi huwa hazijui kubania, Kuna moja hivi 2013/14 ndani nusu mwaka hivi niniila zaidi ya ma elfu hivi, piga bao Kama yoooooote...

Nadhani kwa kipindi hicho kifupi, niliila zaidi ya ma short/long term gf wote ambao nimesha wahi kuwala combined, Hadi sasa. Hata wife inaweza tuchukua Hadi 4years kuvunja hiyo rekodi
 
Mademu classic ni kama wakina wema anataka uhonge gari utaweza mkuu na papuchi ni ile ile acha muhimu tupambane na hawa hawa sungura tope ndio level zetu
Hakuna,demu mkali ukimpiga demu msasa na kumpa mafunzo matunzo wema ni historia ndio hawahawa wanatosa wakina mwantumu halafu wanavisha pete makunguru nakuachwa solemba woi.
Achana na hii mbegu chafu kuijibiza ni akilu hakunazo.
 
Wanaume wengi ni wahanga wa kuombwa ombwa hela ovyo na wanawake pale wanapowatongoza, yaani unakutana na mwanamke baada tu ya wewe kumtongoza hapo hapo mama yake anaumwa, njaa inamuuma, simu yake inaharibika kioo, kunakuwa na party ya rafiki yake inahitaji mchango n.k. na yote hayo anataka wewe ufanye..

Mimi siwalaumu hao wanawake nakulaumu wewe, kipi kinakupeleka kwa mwanamke mswahili swahili, hujui hata kazi yake we unatongoza tu. Hao wengi wao ni wababaishaji na makahaba, akiona ametongozwa yeye hawazi mapenzi bali anakuona wewe fursa wa kumtatulia shida zake na mara nyingi huwi peke yako.

Tafuta wanawake classic wewe, ambao utakuwa unampa hela na sio kumhonga, wewe mwanamke hata hela ya kula hana utamuweza kweli rafiki yangu? Mwanamke anakutangazia njaa km vile wewe ndo shirika la msaada, sasa huyo utamuhitaji, ni mpenzi wako au muhitaji?

Of course yes mwanaume unatakiwa utoe hela kwa mwanamke wako lakini sio kwa mateso, maana kuna wanaume wenzangu wanayashikilia mahusiano kwa kutegemea kuhonga, haya ni mateso sasa.

Ni hayo tu...
Naam
 
Back
Top Bottom