Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Mama asikuchokoze huyo, tutamfungulia kesi.Mkuu ukishajua kujibu kwa hoja na siyo mihemko basi rudi tena,, Nipo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama asikuchokoze huyo, tutamfungulia kesi.Mkuu ukishajua kujibu kwa hoja na siyo mihemko basi rudi tena,, Nipo..
Story anapiga ila kumtambulisha siwezi aisee. Huwa natambulisha zile pini tu za kishua ambazo ukigonga hufaidi kivile siku nikitaka ku enjoy ndio namtafuta huyu sungura tope manake ana vurugu hatariHa ha ha..... Vipi anaweza hata kuhimili kupiga stori 2/3, au ndo wale unaona aibu hata kumtambulisha kwa washikaji ye Ni wakuliwa tu nothing more/less
Mama asikuchokoze huyo, tutamfungulia kesi.
Na hivi huwa hazijui kubania, Kuna moja hivi 2013/14 ndani nusu mwaka hivi niniila zaidi ya ma elfu hivi, piga bao Kama yoooooote...Story anapiga ila kumtambulisha siwezi aisee. Huwa natambulisha zile pini tu za kishua ambazo ukigonga hufaidi kivile siku nikitaka ku enjoy ndio namtafuta huyu sungura tope manake ana vurugu hatari
Vyema.Hapana sio class yangu hiyo kabisa ..................... huenda hata nikivaa ni ndani kwa ndani hata hivyo sina
Hakuna,demu mkali ukimpiga demu msasa na kumpa mafunzo matunzo wema ni historia ndio hawahawa wanatosa wakina mwantumu halafu wanavisha pete makunguru nakuachwa solemba woi.Mademu classic ni kama wakina wema anataka uhonge gari utaweza mkuu na papuchi ni ile ile acha muhimu tupambane na hawa hawa sungura tope ndio level zetu
NaamWanaume wengi ni wahanga wa kuombwa ombwa hela ovyo na wanawake pale wanapowatongoza, yaani unakutana na mwanamke baada tu ya wewe kumtongoza hapo hapo mama yake anaumwa, njaa inamuuma, simu yake inaharibika kioo, kunakuwa na party ya rafiki yake inahitaji mchango n.k. na yote hayo anataka wewe ufanye..
Mimi siwalaumu hao wanawake nakulaumu wewe, kipi kinakupeleka kwa mwanamke mswahili swahili, hujui hata kazi yake we unatongoza tu. Hao wengi wao ni wababaishaji na makahaba, akiona ametongozwa yeye hawazi mapenzi bali anakuona wewe fursa wa kumtatulia shida zake na mara nyingi huwi peke yako.
Tafuta wanawake classic wewe, ambao utakuwa unampa hela na sio kumhonga, wewe mwanamke hata hela ya kula hana utamuweza kweli rafiki yangu? Mwanamke anakutangazia njaa km vile wewe ndo shirika la msaada, sasa huyo utamuhitaji, ni mpenzi wako au muhitaji?
Of course yes mwanaume unatakiwa utoe hela kwa mwanamke wako lakini sio kwa mateso, maana kuna wanaume wenzangu wanayashikilia mahusiano kwa kutegemea kuhonga, haya ni mateso sasa.
Ni hayo tu...
Vyema.
ChaiIla wa uswazi wana uzuri wao... acha tuwatokeee 🤓🤓🤓