ACHA KUTULILIA MAJIRANI, VAA KANGA UTULIE NDANI

Sasa na wewe utaweza sema upo kwenye kundi la wanaume? Una tofauti gani na huyo Jose sasa?
Huu umbea na hivyo vichambo ungepeleka facebook kule!
 
Siyo Jose tuu ,baadhi ya SISI wanaume ni wajinga,wapumbavu ,******* na tusiojielewa. Yaan unamkuta mwanaume kabisa et mke wake anafanya kazi bar . Mshahara 50,000 ,70,000au 100000.na huyo mwanaume yupo comfortable kabisa .duuuu
 
Kuna aina kazi mwanamke akizifanya, mm namuona n Malaya na wala sihitaj ushauri ili kubadili huu mtizamo wangu.

Bar
Sehemu za massage
Saloon
Gest house

Hawa watu labda iwe kulomba na kusepa tuu na sio kuweka himaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…