Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Usikute kitaaa we ni rafiki yangu kbs na kila mtu anajua mwenzake yupo serious kinoma 😂Hamna siku nisome komenti yko nisicheke,yaan hata ukiandika ushaur unaweka mfumo wa matan 😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute kitaaa we ni rafiki yangu kbs na kila mtu anajua mwenzake yupo serious kinoma 😂Hamna siku nisome komenti yko nisicheke,yaan hata ukiandika ushaur unaweka mfumo wa matan 😆
Mnatuogea sisi bana msizuge alaah, Ukivikuta ndani peke yao vichafuu havieleweki ila linapokuja swala la kujiexpose kwa wanaume hapo mnaanza mashindano ya usafi. Endeleeni kutuogea tunapenda sana usafi.Jidanganye ,basi ingekuwa tunaoga kwa sabau yenu wanafunzi wa shule za gilrs na masister wangekuwa wachafu,ila kule ndio wanaongoza kwa usafi kuliko hata hawa wenye mabwana.
😆😆😂😂😂 HayaaaaaaMnatuogea sisi bana msizuge alaah, Ukivikuta ndani peke yao vichafuu havieleweki ila linapokuja swala la kujiexpose kwa wanaume hapo mnaanza mashindano ya usafi. Endeleeni kutuogea tunapenda sana usafi.